Iliingia sura ya mwanamke ambaye huenda hakuwa anategemea kumuona hapo, mwanamke ambaye alikuwa akimfahamu vizuri kwa sababu alikuwa mtu mashuhuri ndani ya taifa la Tanzania na hakuwa mashuhuri tu bali mfanya biashara mkubwa aliyekuwa na mafanikio ya kutosha mbele ya umma. Ni mwanamke ambaye alikuwa anaandikwa mpaka kwenye vitabu na watoto wakamsoma shule, alikuwa ni mwanamke ambaye alikuwa mfano mkubwa wa mapambano hususani kwa watoto …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments