Reader Settings

“Heshima yako bosi”

“Sina haja na salamu zako, nahitaji maelezo ya kilicho tokea huko”

“Huko sina taarifa zozote za maana mpaka sasa ila kufikia asubuhi nitakuwa na taarifa kamili ya kukupatia”

“Unajua wakati nakuteua wewe hapo kuwa mkurugenzi wa nafasi nyeti kama hii nilipokea lawama nyingi na ukosoaji mkubwa kutoka kila pande ya nchi na Afika. Wengi walidai kwamba mwanamke hawezi kuongoza nafasi kubwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next