“Kwani wewe unataka nini?”
“Upo siriasi unanijibu mimi kama hivyo?”
“Jambo la wewe kutopokelewa simu na raisi mimi linanihusu nini? Hayo ni makubaliano yenu nyinyi wawili acha kunipa lawama za kijinga. Mimi silali kupambania hali ya usalama wa taifa langu halafu unakuja kunipa lawama za kijinga na asubuhi yote hii. CDF unatakiw akujiheshimu sana”
“Wewe ndiye ambaye unatakiwa kujiheshimu mpuuzi wewe, unanipigia makelele hapa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments