SURA YA SABA
JNIA ilikuwa imefunguliwa na shuguli zote zilikuwa zinaendelea kama kawaida. Walionekana wanaume wawili wakiwa kwenye suti zao mithili ya wafanya biashara wakubwa wakiwa wanaingia ndani ya eneo hilo. Walikuwa ni majasusi kutoka ndani ya nchi ya Uganda ambao walikuwa wamekuja kwa ajili ya kufuatilia kwa ukaribu kile ambacho kilitokea kule hususani kupeleleza kuhusu uhalisia wa Yohan Mawenge na namna ya kuweza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments