Reader Settings

Akiwa anaangalia hali ya maisha ambayo ilikuwa inaendelea hapo, ilimfanya akakumbuka mbali! Aliyakumbuka maisha ya nyuma, aliko tokea yeye. Aliwahi kuyaishi maisha hayo kwa kipindi kirefu hivyo aliyafahamu fika kwa jinsi yalivyokuwa yanaumiza, aliachia tabasamu na kutoa pesa nyingi kwenye mfuko wake, alimlipa muuzaji wa kibanda hicho mpaka yeye mwenyewe akawa anashangaa mtu kumpa pesa yote kama hiyo wakati hata hawafahamiani ila alielewa mjini hakuna …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next