Reader Settings

Mpango wao ulikuwa ni kwenda pamoja, hivyo mmoja aliteleza chini na Tito akaruka kwa juu, walijua kabisa mtu huyo hatakuwa na uwezo wa kuwakwepa wote kwa wakati mmoja. Yohani alicho kifanya ni kuvua na kurusha koti lake kwa nguvu ambalo lilimfunika Tito akapoteza uelekeo, alipigwa na ngumi kali ambayo ilitua kwenye mdomo lakini hata Yohani mwenyewe alichotwa mguu wake akayumba, alikutanishwa na teke ambalo lilipiga …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next