Reader Settings

“Nenda kamchukue baba yake Damas, ukisha mpata nipigie simu mimi nitakuwa na Saimon” ilikuwa sauti nzito ya Edison. Hikuwa tatizo kwake kwa sababu alijua eneo ambalo alitakiwa kwenda na picha ya mhusika wake alikuwa nayo hivyo aliamua kugawa majukumu kwani walikuwa nje ya muda. Nicola alitoka ndani ya hiyo gari na kuingia kwenye gari yake ambayo ilikuwa mita kadhaa kutoka pale kila mtu akiingia kwenye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next