Wale wawili ni kama waliingia ubaridi hivyo wakawa wanaenda kwa hofu bila mahesabu ya kueleweka, aliyekuwa mbele aliurusha mkono wake kwa nguvu ili akimkuta Edison aweze kumlainisha ila hakuwa na bahati, mkono wake ulikutanishwa na mkono wa Edison hali ambayo iliufanya mkono wake kuvunjika vibaya, alipiga kelele ila alitakiwa kujipambania yeye, Edison alimvuta na kumpigiza kwenye ukuta wa zege kichwa kikapasuka vibaya, alimrushia chini na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments