Reader Settings

“Nahitaji uniorodhoshee hao watu wake wa pembeni na mahali ambamo wamepatikana bila kukosea hata herufi moja” Saimon hakuwa na namna, ilikuwa ni lazima afanye hivyo. Baada ya kukamilisha hilo hakuwa na kazi naye tena, alichomoa ule upanga chini na kuusokomezea juu ya utosi wa Saimoni bila huruma, aliuzamisha mpaka ndani, Saimon alikuwa akitetemeka huku damu zikiruka juu na zingine zikimtoka mdomoni. Aliuchomoa na kuuzamisha kwenye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next