Reader Settings

“Umeona chochote kipya ama kigeni?”

“Hapana bosi ila kuna muda taa zilikuwa zimezimwa lakini ilipofika saa nane kamili taa zikawashwa tena na mapazia yamezunguka kila sehemu hivyo siwezi kuona kinacho endelea ndani”

“Ondoka haraka hilo eneo kwa sababu huenda ameshajua kwamba kuna mtu anamfuatilia”

“Sawa bosi” mwanaume huyo alibeba begi lake na kuondoka kwenye hilo eneo. Bosi wake alikuwa sahihi, ndani ya nyumba hiyo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next