Alikuwa mbishi, aliitumia sarakasi safi kuweza kunyanyuka kwa mara nyingine tena, alienda kwa hasira zaidi akiwa analinyoosha bega lake, aliruka sarakasi ili atue kwa miguu yake kwenye kichwa cha Edison, Edison aliinama kidogo ambapo miguu hiyo ilimkosa na kutoa chini ila wakati anatua chini Damas mguu wake ulipigwa na teke kali ambalo lilimfanya atoe ukelele, alibaki anaelea hewani kwa kukosa balansi ndilo alipo funikwa vyema …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments