“Mara nyingi mtu akihitaji kumhoji mtu kinguvu hawezi kwenda naye kwenye mazingira ya nyumbani kwake, huwa wanatumia magodauni, majengo yaliyo telekezwa, viwanja ambavyo havifanyi kazi na majengo kama hayo hivyo tuhakikishe anapatikana haraka Saimon na ikiwezekana kama hakutakuwa na mazingira ya kumuokoa basi auawe” ilikuwa ni amri ambayo ilitakiwa kufanyiwa kazi mara moja wakati huo.
Ulifanyika msako mkali kila sehemu ya jiji mpaka ilipotimu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments