Reader Settings

“Makamu wa raisi ameuawa” Aaliyah alibaki ameganda

“Nani mwenye uwezo wa kumvamia makamu wa raisi na kumuua? Na kwanini afanye hivyo?”

“Sijui ila nimepigiwa simu na mlinzi wake mkuu ambaye bila shaka naye ameuawa” Aaliyaha aliangalia saa yake hapo ndipo aligundua kwamba miadi yake na kiongozi huyo ndiyo iliwafanya kuwa hapo mapema namna hiyo, ilikuwa saa kumi na mbili kasoro ya asubuhi. Alishangaa inawezekanaje …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next