Joeli John, waweza kumuita Joh alipata begi la pesa, pesa ambazo hakuwahi kuwaza kuwa nazo kwenye maisha yake huku akiambiwa kwamba alikuwa anaweza kufanyia jambo lolote lile ambalo angelitaka yeye. Alijihisi kuchanganyikiwa lakini hakuwa na namna kwa sababu pesa zilikuwa zake na aliruhusiwa kuzitumia kwa namna atakayo yeye, baada ya mtu ambaye alimletea pesa kuweza kuondoka, yeye alikimbia kuelekea kwenye kituo cha daladala, alipanda daladala …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments