Reader Settings

Alianza kuyaishi maisha yake kama Yohani ambapo baada ya kuhitimisha mafunzo alirudi tena mtaani kwake, alikuwa amebadilika na utambulisho wake mpya hakuna mtu ambaye alikuwa akimfahamu tena Yohani. Kurudi kwake hakukuwa kwa ajili ya wema, bali alirudi ili kulipa kile kisasi ambacho aliwahi kuambiwa na Nikolai kwamba alitakiwa kuja kumuua mwanamke huyo kwani kwa baadae ndiye ambaye angekuja kuwa udhaifu wake mkubwa, mapenzi huwa hayafi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next