Reader Settings

“Unaweza ukanieleza kwamba ni sehemu gani ambayo haiko sawa kwake labda?”

“Amekuwa na maamuzi ya kitoto siku hizi, hayupo makini na kazi yake kabisa kiasi kwamba mambo yameanza kuwa hovyo. Taarifa zetu zinavuja kila mahali na hakuna hatua yoyote anapiga. Yanafanyika mauaji ya hovyo kila siku tena kwa uzembe mkubwa, anawaamini watu ambao hawatakiwi kuaminika lakini zaidi mpaka sasa bado hakuna hatua ya maana …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next