“Unahisi kwamba makamu wa raisi aliwahi kumfanyia jambo lolote lile?”

“Huyu ni mkubwa mwenzako, mimi ndiye natakiwa kukuuliza swali hili wewe na sio wewe kuniuliza mimi hapa” Aaliyah alikuwa anamgusa kwenye mshono ndipo wakakumbuka kuhusu familia.

“Kama angewaua lazima tungeikuta miili yao hapa”

“Hawezi kuua familia ambayo haihusiki hivyo lazima kuna mahali amewafungia ndani ya nyumba humu humu” Aaliya alitoa maoni yake kwa uzoefu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next