Reader Settings

“Yuko wapi baba yangu?” aliuliza lakini hakuna ambaye alijihangaisha kuweza kumjibu.

“Nawauliza yuko wapi baba yangu?”

“Kuna kazi nahitaji uifanye kwa ajili yangu ndiyo maana upo hai mpaka sasa”

“Siwezi kuongea na wewe lolote mpaka nijue hali ya baba yangu”

“Baba yako amerudishwa nyumbani, kazi yake ilikuwa rahisi tu kukuleta wewe kwangu kisha nikamalizana naye baada ya wewe kufika. Kwa sasa familia yako itakuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next