“Najua kama hawa watu wameanza kutujua basi lazima kuna mtu atakuwa anatufuatilia kuanzia ofisini hivyo kwa sasa wewe hata kwa bahati mbaya hautakiwi kugusa ofisini kwa namna yoyote ile kwa sababu wanaweza wakapata kujua unapo ishi, mimi nitashinda pale kuona kila mtu ambaye atakuwa anaingia na kutoka na kama ikifika mpaka usiku bila chochote basi kuna watu nitakutana nao nina imani mpaka kesho asubuhi nitakuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments