Reader Settings

“Kipi kilikufanya uamini kwamba ipo kweli?”

“Kwa sababu mwanasheria alinipa ukweli juu ya jambo hili lakini niliona pia inatumika nguvu kubwa kuzima kusambaa kwa taarifa zake, kama lingekuwa jambo lisilo kuwepo basi isingekutumika nguvu kubwa namna hiyo”

“Unajua mlengo wa kuanzishwa kwake?”

“Hapana mheshimiwa”

“Mimi ni miongoni mwa watu wa jamii hii tena watu ambao wanategemewa kuliko watu wengi” Bibie alibaki amehamaki, aliangalia kila …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next