SURA YA TISA
MADAM KATE
Kama alivyokuwa amedai kwenda Ikulu kwa ajili ya kuhitaji msaada kwa mara ya kwanza kwa raisi ndicho ambacho alikuwa anakifanya, kwa mara ya kwanza raisi alikuwa anakutana na mwanamama huyo na kumfahamu kwamba ndiye alikuwa nyuma ya kila kitu baada ya kupokea ugeni huo Ikulu na taarifa alipewa. Aliduwaa kushuhudia jambo hilo lakini hakuelewa shida ilikuwa nini hasa mpaka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments