Reader Settings

“Kipi kinakufanya uhitaji kuonana na mimi?”

“Kukusaidia kumtafuta Edison” mwanaume huyo aligeuka baada ya kusikia hayo maneno.

“Unajua ninakoweza kumpata?”

“Hapana ila nipe masaa kumi nitakuwa nimejua eneo ambalo yupo hilo naweza kukuahidi” aliamua kudanganya ili kununua muda, alijua kabisa kwamba mpaka ufike wakati huo basi angekuwa amepata majibu sahihi juu ya nini anatakiwa kukifanya. Yohani alimsogelea kijana huyo na kumwangalia kwa umakini kwenye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next