Goti lilimkosesha balansi David, alitoa sauti na kutaka kugeuka kwa kujilazimisha, hakupewa hiyo nafasi. Edison baada ya kumpita mwanaume huyo alisimama na kugeuka na ngumi ambayo ilitua kwenye uti wa mgongo, ilisikika tu ile sauti ya “Mhhhh” kutoka kwa David. Aliinamishwa na kupigizwa mgongo wake tena kwenye goti, mifupa ilisikika ikiwa inavunyika, kilichomolewa kile kisu cha kwenye koti kilichotumika kuzichoma sehemu za mwili wake kama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments