NYUMBANI KWA EDISON
Edison bado alikuwa anaishi paipokuwa nyumbani kwa JACK THE LAWYER, alijua sehemu hiyo ilikuwa salama kwa sababu mhusika alikuwa amekufa hivyo kwake ikawa salama zaidi kuigeuza sehemu hiyo kuwa makazi yake rasmi. Usiku huo ambao aliondoka kwa ajili ya kwenda kuonana na CDF alimuacha Nicola pekeyake, kuna namna alikuwa anamjali binti huyo kiasi kwamba hakupenda kutembea naye kwenye maeneo ya hatari …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments