Safari yake ilikuwa ni kuelekea Kinondoni na alikuwa nyuma ya muda hivyo aliitoa gari yake kwa spidi kali mno, kama angekutana na kitu chochote hata kidogo tu barabarani basi angepata ajali moja mbaya ambayo isingeacha hata mfupa wake ukiwa salama. Alifikia kindondoni kwa muda mfupi kutokana na spidi yake, ilikuwa ng’ambo ya eneo kubwa ambalo huwa linatumika kama mnada na muda mwingine watu kufanyia kampeni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments