Kifua kilipasuliwa kiasi kwamba viungo vya ndani vikawa vinaonekana huku damu ikiwa inaendelea kumwagika. Alishuka chini taratibu, Edison aliona mtu huyo anampotezea muda, alimshona buti la kichwa ambalo lilimbamiza ukutani kichwa kikapasuka vibaya. Aliinama na kuingiza kwenye mfuko wa bwana huyo akaipata funguo ambayo aliitumia kufungulia mlango wa mkurugenzi mwenyewe baada ya kupandisha ile ghorofa ya tatu. Aliingia ndani na kumkuta mama huyo akiwa amelala …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments