“Unahisi ni wazo zuri kwa huo uamuzi ambao umeufanya?”
“Amemua Aaliyah ambaye wakati anakufa aliacha hilo kama ombi lake la mwisho kwamba nihakikishe namuua mwanamama yule kwa sababu kuishi kwake lingekuwa ni tatizo lingine kwani ana watu wengi ambao anandelea kuwasambazia propaganda hivyo kuishi kwake ingekuwa ni hatari ama kupanda kirusi kingine”
“Aaliyah amekufaje?” raisi aliuliza ikiwa ni ishara ya kutozipenda taarifa hizo kabisa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments