“Unamtaka mpenzi wako? Unamtaka mama yako? Huo mlango siufungi utakuwa wazi kwahiyo kazi ni kwako, cheza na hao vijana kisha utanikuta huko chini nakusubiri mimi na mama yako. Ni rahisi tu ila kama ukishindwa kufika huko wewe mwenyewe ukaletwa na hawa vijana basi utashuhudia nikimbaka mpenzi wako kwa macho yako na kumuua kisha mimi na wewe tutamalizana baada ya kumuona mama yako. Comon Edison” aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments