Sarakasi mbili za haraka zilimfanya Edison kupangua mguu mzito uliotua kwenye bega lake la kulia mguu mmoja wa Joel ukiwa chini. Aliukita mguu huo na buti lake ukateleza kwa nguvu na kumfanya kukita ngumi yake ya kulia kwenye kifua cha Joel kwa nguvu kubwa ila hata yeye mwenyewe alikutanishwa na mabuti mawili ya kifua ambapo Joel alidondokea kwenye ngazi kwa kutumia mkono wake mithili ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments