Jambo ambalo baadae lilimshtua ni baada ya kugundua kwamba watu ambao walimfanya afanye tukio hilo ilikuwa ni jamii ya siri ambayo ilikuwa inaitwa LUNATIC SOCIETY. Lengo la watu hao kumfanya afanye tukio hilo likuwa ni kuhitaji kumuingiza ndani ya jamii hiyo bila kipingamizi, sasa kwanini walihitaji amuue bondia huyo? Alidai kwamba kulikuwa na sababu kubwa mbili; Sababu ya kwanza ni kwamba bondia huyo aliwahi kugoma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments