“Ndiyo ila njia yake ipo huku ndani, makazi yapo chini ya ardhi ndiyo maana ukiwa nje huwezi kuona kwa sababu njia huwa zinafunguliwa bosi akihitaji kutoka tu”
“Nipeleke huko” hakuwa na namna zaidi ya kukatiza kwenye chochoro moja ambayo njiani ilikuwa na taa kadhaa ambazo zilikuwa zinatoa mwanga na kuifanya chochoro hiyo kuonekana vyema kabisa. Mbele yake aliona kuna mlango wa shaba ambao uliungana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments