Edison alifanya kosa dogo kupandwa na jaziba wakati wa mpambano, hiyo ni seehmu ambayo huwa inahitaji utulivu hususani unapokutana na fundi wa hiyo sanaa ya mapigano. Alikuja vibaya akiwa amekunjuka kwa sarakasi ambapo hesabu zake zilikuwa ni kutua na buti lake kwenye kichwa cha Nikolai kisha mguu mmoja ungecheza na kifua cha mwanaume huyo lakini kabla hajafika aliwahiwa hewani ambapo aliguswa ngumi kama tano na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments