Mzee Mfuwe, mara baada ya kuona mabadiliko aliyokuwa nayo Regina, alijikuta akianza kuita kwa nguvu.
“Mtawala! Mtawala, unajisikiaje?”
Lakini hata hivyo, Regina hakutoa jibu.
Upande wa Hamza, aliishia tu kukunja sura na kisha palepale akauliza:
“Chifu Mzee, mara ya mwisho Mtawala aliyepita alipojaribu kusoma hicho kitabu, alikuwa na matokeo kama haya?”
“Hapana! Mtawala aliyepita hakuwa na matokeo makubwa ya aina hii. Sio kila mtu ana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments