Reader Settings

Regina, mara baada ya kumsikia Hamza na ombi hilo, alisimama. Alikuwa tayari amesharejewa na nguvu zake.

“Hubby, twende huko nje!”

Wawili hao walitoka nje na kuchukua uelekeo wa jengo la utawala, kisha wakaingia kwenye lift iliyowapeleka moja kwa moja hadi kwenye ofisi iliyokuwa ikitumiwa na Mathias Huge, ambayo sasa ilikuwa ni yake rasmi.

Baada ya kufika hapo, alitumia njia za mawasiliano na kumwita mtu anayehusika …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next