Hamza alisogea na kisha akasalimiana na Afande Kihara, ambaye alikuwa siriasi mno.
“Mr. Hamza, vipi kuhusu hali ya binti yangu?” aliuliza.
Hamza aliishia kutoa ishara ya kuelekea kwenye wodi aliyolazwa Fionna.
“Mpaka sasa bado hajarejewa na fahamu, lakini vipimo vinaonyesha hali yake siyo mbaya.”
“Imekuwaje huyu mtoto afanye jambo la kijinga namna hii?” aliongea huku akiweka mikono na kuikandamiza kwa nguvu kwenye kioo.
Alikuwa ni binti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments