Mzee Kiha alitoka kwenye wodi hiyo na kutokomea nje.
Upande wa Herman, mara baada ya kuhakikisha Mzee Kiha ameenda mbali, aliwaambia wanajeshi na manesi waliokuwa katika eneo hilo kwa ajili ya huduma.
“Mnaweza kuondoka pia... mimi nitaendelea kubakia hapa, kama kutakuwa na shida nitawataarifu.”
Watu hao kwa sababu walikuwa hapo kikazi na kusaidiwa ilikuwa nafuu kwao, hawakusita hata kidogo na kuondoka.
Mara baada ya kuona alibaki …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments