Shambulizi lile la silaha ya nia lilipenya katika mwili wa Herman kwa spidi kubwa mno kiasi kwamba iliwafanya Mzee Kiha na Afande Simba kutoshituka mapema.
Herman ndiye ambaye hakuwa ameelewa kabisa hata kama atashambuliwa, na ni muda uleule alihisi mwili wake wote ni kama unazunguka, na nguvu za kiroho zote zilizokuwa ndani ya mwili wake zilianza kupotea kwa kasi kubwa mno.
“Arghhh!!”
Maumivu yalikuwa makali mno …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments