Ni ndani ya makao makuu, kwenye moja ya jengo binafsi la kifahari, kwenye ukumbi wa chakula, sauti ya kuvunjika kwa sahani ilisikika.
Chini kwenye sakafu kulikuwa na chakula kilichokuwa na harufu nzuri kilichokuwa kimemwagika, na aliyeifanya hivyo alikuwa ni Herman.
“Chakula gani kibaya hivi! Yaani mnaniletea chakula kama nimekuwa nguruwe? Au sasa hivi kwasababu sina uwezo wangu wa nishati ndio mnataka kunipanda kichwani?”Aliongea Herman kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments