Reader Settings

“Sambaeni, haraka tawanyikeni bila kusimama!” Afande Simba alipiga makelele kwa wanajeshi wote waliokuwa ndani ya eneo hilo. Alijua fika mdunguaji yoyote hushambulia vizuri ikiwa shabaha yake ipo katika hali ya kusimama. Hivyo, kwa kukimbia itakuwa rahisi kwao kukwepa mashambulizi ya Jicho la Tai.

“Watu wa Armagedon wamefika mpaka makao makuu ya nchi!” Lilikuwa swali la mshangao kwa kila mmoja.

“Haina haja ya kujiuliza hilo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next