“Umekuwa mwanaume unaeishi mafichoni kwa miaka mingi. Utajua nini kinachoendelea kwenye ulimwengu?” aliongea Nyakasura.
Umoja wa Armagedon nguvu zake zinapangiliwa kimadaraja, kuanzia daraja la ishirini mpaka moja. Kwa maana hiyo, mwanachama mwenye Code name Freezer yupo nafasi ya kumi na inaaminika amejifunza umajusi wa kutengeneza mgandamizo wa dutu za hewa na kufanya watu kushindwa kupumua.”
Mara baada ya kusikia uwezo huo wa kusimamisha elementi za …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments