DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI
★★★★★★★★★★★★★
Dylan alifumbua macho, akitambua Leila alichofanya, lakini akatulia asikilizie jambo hilo lingeelekea wapi. Leila alishindwa kuendelea kuzuia hisia zake, naye akaibusu kwa mara ya pili shingo ya Dylan. Dylan akalegeza mikono yake kutoka kiunoni kwa binti, naye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments