DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Masoud akazipokea pesa hizo kimashaka sana, naye Grace akatoa tabasamu la kuridhika. Kisha akageuka na kuwaonyeshea Baraka, Leila, mama Conso na Dylan kwa kiganja chake kuwa wamfate nyuma yake. Waliangaliana kwa mshangao, naye Masoud akamuuliza Dylan ikiwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments