DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★★
"Ethan..." sauti ya Shani ikasikika akimwita Dylan.
"Naam..." Dylan akaitika, huku akivua T-shirt yake haraka sana.
Leila alishangaa kwa nini anafanya hivyo, na hapo hapo Dylan akamsogeza pembeni ya mlango ili ajibanze. Kisha akaufungua mlango kiasi na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments