DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Grace akashangaa kiasi. "Hayupo? Lakini... tulikubaliana kukutana hapa..."
"Grace habari yako?" Dylan akakatiza maongezi yao na kutoka nje.
Grace akatabasamu kidogo baada ya kumwona, naye Leila akazungusha macho yake kwa kukerwa.
"Ni nzuri. Uko tayari?" Grace …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments