DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Lakini hapo hapo Dylan akaanza kucheka kwa kufurahishwa na Grace, huku yeye Grace akiendelea kumtazama kwa wasiwasi kiasi.
"Ahahahah... inaeleweka ukijikwaa miguuni lakini hadi na ulimi pia? Dylan ndiyo nani?" Dylan akauliza bila kutambua.
Grace akaendelea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments