DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Mwanaume huyo akasimama na kumtazama Dylan usoni kwa hasira.
"Unaingiaje kwenye chumba private bila kugonga hodi? Wewe ni mpumbavu?" mwanaume huyo akafoka tena.
Leila akaanza kuvaa T-shirt yake haraka haraka akiwa ameingiwa na hofu kubwa. Dylan akajifuta …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments