DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★★
"... bado tuko huku kwa nini? Kwa sababu tumekaa tu bila kufanya lolote!" Jaquelin akafoka kwa hasira.
"Jaquelin... kuna mambo mengine tunayoweza kukazia fikira na kujitahidi kuyakuza zaidi ili yatupe faida angalau kwa wakati huu," Gilbert …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments