MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI
★★★★★★★★★★★★★
Tulipotoka kwenye nyumba hiyo, safari ikaanza kuelekea kule ambako tuliacha ndege, ikiwa inaelekea kuingia saa kumi na moja jioni. Nilikaa kwa ukaribu na Miryam wangu, ambaye kwa uchovu alinilalia begani na kusinzia kabisa tangu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments