Reader Settings

"Asante bwana wang Asubuhi na mapema, mjumbe alifika katika boma la Bi. Tabitha kumpa Tumaini ujumbe kwamba anaitwa na Bw. Mazoea. Tumaini alikataa wito wa chifu wa kisiwa kwa kumwambia aliyeleta ujumbe kwamba hatafika.
"Nenda mwanangu," bibiye alimsihi baada ya kuona msimamo wake, "ndiyo, najua alikutenda maudhi lakini huna budi kumsamehe. Lazima kuna taarifa njema anataka kukupasha."
"Taarifa njema! Hakuna mema yoyote ikiwa amesusia kufuatilia chanzo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next