DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★★
Jafari alifanikiwa kumpata Pius, yule mwanaume aliyemkimbia ili asiendelee kupelelezwa kuhusiana na ajali ile ya helicopter. Jafari aliweza kutambua kwamba Pius alifanya ionekane kama amekimbilia sehemu ya mbali, lakini akajua hiyo haikuwa kweli kupitia kusikiliza mawasiliano baina …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments